Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.
Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Mchekeshaji na mtengeneza maudhui wa mitandaoni Mtanzania Zero Brainer ameshinda tuzo ya "Sports Creator of the Year TikTok Awards 2024" katika tuzo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2025 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Soma: Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer...
Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi.
Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).
Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
Habari zenu.
Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi.
Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja. Atafute watu sahihi wa kumsimamia nyuma yake.
Ninamuona ana kipaji kikubwa lakini kuna marekebisho...
Mchekeshaji Li Haoshi wa China amejikuta kwenye sintofahamu baada ya kupigwa faini ya $ 2 milion ambazo ni sawa na bilioni 4 baada ya kutaja maudhui na msemo wa kishujaa ambao hutumiwa na jeshi.
Mchekeshaji huyo alikuwa akielezea jinsi mbwa wake walipokuwa wakifukuza "squirrel" ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.