Habari zenu.
Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi.
Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja. Atafute watu sahihi wa kumsimamia nyuma yake.
Ninamuona ana kipaji kikubwa lakini kuna marekebisho...