Nina mpango wa kufungua store ya mchele Dsm...sipo kwa muda wa miaka 3 ...
Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa sasa nilitaka niingie na Tone 2 nikiwa na cash Mil.2
Najua mtaji wangu unaweza kuonekana mdogo...
Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndio naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia.
Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli.
Update
Mchele ni mtamu Sana ndo napakua Muda huu
Mchele huu ni wa Daraja la kwanza kabisa.
Hauna Chuya
Hauna Punje za mchanga
hauna chenga
unapatikana kwa ubora wa hali ya juu sana
Bei yetu ni 2200 Tsh kwa Kilo
Tunauza kuanzia Tani 1 na usafiri juu yetu.
Tupo Mwanza Mkuyuni
0713096076
Hi guys,
Kwa mchele mzuri kabisa, ambao ukipika kiubwabwa chako kwanza kinakuwa kitamu pili kinanukia mpaka mtaa wa 7 huko, usisite kutuagiza, bei inaanzia 1500/= tu kwa kilo moja.
Pia tuna mafuta safi na khalisi kabisa ya alizeti Lita 3 kwa tsh. 17,000/= na Lita 5 kwa tsh. 28,000/= tu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.