mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Mchengerwa atoa miezi miwili kwa mkandarasi kukamilisha jengo la TAMISEMI

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
  2. Inside10

    Rais Samia amuonya Mchengerwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
  3. L

    Hizi Hapa sababu za Baba mzazi wa Mohammedi Mchengerwa kuzikwa Makka alikofia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimepata na kupokea Maswali Mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali mitaani kuniuliza juu ya sababu ya Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kuzikwa Makka ambako ndiko alikofia. Nimeulizwa maswali haya siyo...
  4. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  5. L

    TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

    Ndugu zangu watanzania, Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka. Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
  6. Carlos The Jackal

    CHADEMA ifanyeni Hoja ya Mh Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kua Msimamisi Mkuu wa Uchaguzi ( TAMISEMI) kua Hoja Kubwa , itaeleweka Kwa haraka !!.

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  7. B

    Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    15 February 2025 Ikwiriri, Rufiji Tanzania BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA NI KODI ZETU https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
  8. The Watchman

    Pre GE2025 Mchengerwa awaagiza wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi iliyosalia kwa kushirikisha wabunge

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi mbalimbali iliyosalia kwa kushirikisha wabunge. Akizungumzia suala hilo, Mchengerwa...
  9. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mchengerwa: Fedha za mikopo za asilimia 10 ni za moto, tusisikie vikundi hewa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia utoaji wa asilimia 10 ya mikopo ya halmashauri ili kusiwepo na vikundi hewa na kusema wilaya na mikoa...
  10. The Watchman

    Mchengerwa aagiza Mkandarasi kutopewa mradi mpya, huku waliopaswa kumaliza kazi Februari wasipate hata kazi ya shilingi mia tano mpaka wamalize viporo

    Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ya pili unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA).
  11. Mkalukungone mwamba

    Mchengerwa: Utaratibu unaotumika stesheni ya SGR Dodoma ni mbovu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma...
  12. The Watchman

    Mchengerwa: Wakurugenzi Kama kuna miradi ya kuisimamia kipindi hiki kaisimamieni kwa weledi ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi

    Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi. Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye...
  13. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  14. S

    KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
  15. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  16. S

    Wapi Mchengerwa ma-Headmaster wanafanya biashara za kuuza nafasi za form one 2025 kwa malipo ya mpaka Sh. Milioni moja

    Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali ambazo zina ufaulu mzuri walimu wakuu(Headmasters) wanauza nafasi za kujiunga na shule hizo kwa...
  17. C

    Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

    Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka. Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani ===== 📍Makkah 🕌🕋🤲🏾 Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za...
  18. Megalodon

    Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

    Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ? Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa. Kikawaida ? , Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa Makonda. Mchengerwa hana mandate juu ya mkuu wa Mkoa, RC ni presidential appointment na Waziri ni...
  19. D

    Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  20. ngara23

    Mchengerwa anabebwa licha ya kuharibu kila wizara aliyohudumu

    Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu 1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii. Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa Ngorongoro huko Msomela Masai waliteseka kutoka kwenye eneo la asili japo kampeni ilikuwa ya kuhama Kwa...
Back
Top Bottom