Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa Serikali wanapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano katika Mikoa na Wilaya ili kwa pamoja washiriki...