Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala, Jamaa alikua ni kati ya wacheza mieleka (wrestlers) wakubwa duniani na akatengeneza pesa nyingi ghafla ukaanza mgogoro kati yake na mke wake Joyce White aliyeishi nae miaka 24 na kupeana talaka...