Wakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kibali cha BoT, wakiwemo wafanyakazi wa Kampuni ya Leo Burnett London (LBL) na mkurugenzi wao, Najim Houmud.
Watuhumiwa hao walikamatwa kati ya Februari 18...
Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa...
Sielewi somo na siielewi serikali. Naomba majibu. Hao TCRA na BoT walikuwa wapi muda wote?
Pia soma > LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
Jeshi la Polisi jijini Mbeya limewakamata watu watano akiwemo Meneja wa LBL Mbeya kwa kosa la kuendesha mchezo wa upatu bila kuwa na kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania kama sheria zinavyoelekeza.
Soma pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.