Wakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kibali cha BoT, wakiwemo wafanyakazi wa Kampuni ya Leo Burnett London (LBL) na mkurugenzi wao, Najim Houmud.
Watuhumiwa hao walikamatwa kati ya Februari 18...