mchina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo tena niko na mchina ! Atakasirika tu oneni!

    Nipo na deepseek
  2. W

    Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

    Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓 Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
  3. Mchina aitikisa dunia ghafla!Mmarekani anahaha!

    Pata shida upate akili ================== Kuibuka kwa programu ya Kichina inayotumia AI inayoitwa DeepSeek kumekuja baada ya tangazo kubwa kutoka kwa Rais Donald Trump kuhusu kuendeleza maendeleo ya AI nchini Marekani. Wiki iliyopita, Trump alizindua mradi uitwao Stargate - mradi wa AI wenye...
  4. Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  5. D

    Wamarekani wamekuwa obsessed na app za mchina sasa

    Zimebaki siku tano hadi ban ya tiktok kuanza nchini Marekani lakini habari zinasema japo tiktok inajaribu kuwapeleka watuamiaji wake kwenye app yao nyingine inayoitwa lemonde wao wameamua kuanza kutumia app nyingine ya mchina inaitwa rednote ambayo ni kama mchanganyiko wa instagram, reddit na...
  6. Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

    Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya majarabio ya Kizazi hiki Cha ndege vita.
  7. Toyota wamezindua EV sedan BZ7: Kwa msaada wa Mchina!

    Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7. Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina. This time, BZ7 ameshirikiana na GAC na kutumia battery za BYD. Sida zaidi hatujapewa ila kwa...
  8. Huyu Mchina wa kwenye Azama Marine, unamjua?

    Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa zinaishiaa kwenye maji Nilibahatika majuzi kumsikiliza nikielekea znz. Yuko serious na kazi yake...
  9. WAZO: Wamiliki wa mabasi fungeni kamera ulinzi (CCTV Camera) japo kwenye lango la kuingilia abiria

    Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi. Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
  10. Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  11. Nakupa chimbo la maua bandia na chimbo la pazia kwa mchina kariakoo!

    i
  12. Serikali yatoa ndege za mafunzo ya awali kwa marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege za Mafunzo ya awali kwa marubani na Mabasi ya Usafirishaji vyote kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Pia soma: Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60...
  13. Umewahi kukutana na Mchina mwenye ndevu?

    Leo nimekaa sehemu nikaona kundi la wachina, nikajiuliza hivi hawa jamaa huwa hawaoti ndevu au wananyoa kilasiku. Ni utaratibu wao wa kiasili kukaa bila ndevu au hawapendi tu, maana binafsi sijawahi kukutana hata mara moja na mchina mwenye Uchebe.
  14. EMPIRE OF DUST: Hii nafikiri ni filamu nzuri yenye funzo, kuna jambo mchina akielezea kutuhusu sisi waafrika kupitia Congo

    Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
  15. X

    ChinaTech: Kutana na "Rocket Boy" dogo Mchina wa miaka 11 aliyetengeneza rocket. Wazazi jifunzeni kitu hapa.

    Yan Hongsen mwenye umri wa miaka 11 tu kutoka nchini China aliyepewa jina la utani "Rocket boy" amekuwa gumzo katika mitandao na vyombo vya habari duniani. Hii ni kufuatia kuweza kutengeneza na kurusha rocket yake ndogo ya kwanza huku followers wake wakitazama tukio hilo kupitia mtandao wa...
  16. Unamjua Wu Zunyou, Mchina aliyejaza upepo kwenye puto kwa kutumia macho?

    Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba. Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles. Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
  17. V

    Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  18. Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
  19. Wavuliwa Medali kwa kumuachia Mchina ashinde riadha

    Mshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie awe mshindi wa kwanza. Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha...
  20. Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…