Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia.
Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
Habari wana bodi!
Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.
Eneo: 40m x 20m = 800sqm
Ninatanguliza shukrani.
Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.
Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain...
We mteja muulize FUNDI wako akupe sababu ya kuchagua Aina aliyoichagua katika kusuka nondo ya nyumba yako .
Ili ujue na madhara yake. (Technical reason ni Bora zaidi ye economic reason).
Angalia michoro niliyoambatamisha. SWALI zaidi nitamjibu.
Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi;
Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.
Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili.
Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa).
Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ?
Asanteni!
Mei 29, mchoro maarufu wa Leonardo da Vinci "Mona Lisa" kwenye Jumba la Makumbusho la Louvre huko Paris, Ufaransa, ulitupiwa keki na mwanaume mmoja aliyejifanya kuwa mwanamke mzee mlemavu anayetumia kiti cha magurudumu, na cream nyeupe ilipakwa kwenye kifua cha Mona Lisa.
Kwa bahati nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.