Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na atachoka kisha utazijua tabia zake zote na kama utaweza kumvumilia kwa miaka hiyo yote basi kumuoa...