mchumia tumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwananyaso

    January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

    Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na tabasamu lako, hii ndio dunia. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Mbunge Mpina ni mchumia tumbo tu, wala si mzalendo

    Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni. Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine...
  3. R

    Kijana ukiwa mshabiki wa CCM watu wanajua we ni mchumia tumbo tu

    Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa. Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini. Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu. Sambamba na hayo watu...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
Back
Top Bottom