Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli Lunzebe kwa tuhuma za kumbaka binti mwenye umri wa miaka 15.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutenda unyama huo mbele ya mtoto mdogo...