Mbunge wa Jimbo la Hai, Msikilize baba mchungaji, kuna ujumbe wako.
"Kwanini taasisi zinakufa? Kwanini Uchumi unaanguka? Kwanini kutokuzalisha? Ni kwasababu hautumii wenye akili! Namna ambavyo unaweza kuzalisha ni kutumia wenye akili. Sasa ukishaona kila mwenye akili kwako ni tishio (threat)...
Ni Mch. Eliona Kimaro wa kanisa la K.K.K.T - DSM akimwaga madini adimu sana.
Anasema, viongozi wengi wa nchi za Kiafrika ni wabinafsi na huogopa sana watu wenye akili (talented people) kwani badala ya kuwalinda na kuwaweka karibu watu hawa ili kuwatumia kusaidia uwepo wao kwenye iti vyao vya...
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.
Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.
Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.
The...
Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.
Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.
Leo Mchungaji...
Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu.
Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro!
Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja.
Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.