mchungaji eliona kimaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mchungaji Kimaro: Uchumi unaanguka sababu wenye akili hawatumiwi. Wenye akili siyo tishio kwenye nafasi zenu, watumieni kwenye uzalishaji

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Msikilize baba mchungaji, kuna ujumbe wako. "Kwanini taasisi zinakufa? Kwanini Uchumi unaanguka? Kwanini kutokuzalisha? Ni kwasababu hautumii wenye akili! Namna ambavyo unaweza kuzalisha ni kutumia wenye akili. Sasa ukishaona kila mwenye akili kwako ni tishio (threat)...
  2. U

    Video: Viongozi wapenda madaraka huwaogopa wenye akili (talents) kwa hofu kuwa watachukua nafasi zao. Hutumia kila fitna kuwapoteza badala kuwatumia

    Ni Mch. Eliona Kimaro wa kanisa la K.K.K.T - DSM akimwaga madini adimu sana. Anasema, viongozi wengi wa nchi za Kiafrika ni wabinafsi na huogopa sana watu wenye akili (talented people) kwani badala ya kuwalinda na kuwaweka karibu watu hawa ili kuwatumia kusaidia uwepo wao kwenye iti vyao vya...
  3. Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

    Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo. Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa. Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana. The...
  4. Kama Martin Luther aliweza kujitoa kanisa la Roma na kuunda KKKT, kwani Mchungaji Kimaro anashindwa nini?

    Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao. Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana. Leo Mchungaji...
  5. Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

    Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu. Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
  6. D

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  7. J

    Mchungaji Kimaro: Viongozi makini hawahitaji Chawa wa kuwasifiasifia bali wanawapenda wakosoaji wanaowaambia ukweli ili wajiimarishe

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu. Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani. Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…