Mchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada.
Siku hizi nyumba nyingi za ibada zinazomilikiwa na watu binafsi zimekuwa na utaratibu wa kuuzia waumini wao vitu kama vile maji, mafuta...