Fikiria jinsi Mchungaji Msigwa alivyoaminiwa na Chadema pamoja na Wanachama wote
Kumbe ni Fursa ya Vyeo na kupata Fedha ndio ilimuweka Chadema lakini hakuwa na Mapenzi yoyote na kile Chama
Mchungaji Msigwa alipokosa cheo na Fedha akajisalimisha Chama Dume faster
Na hii ndio Tabia ya wapinzani...
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu ,furaha na kicheko.
Tofauti na alipokuwa CHADEMA alikuwa muda wote amekunjamana sura kwa mawazo na...
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake tangu ahamie ccm amekuwa akimlaumu Mbowe kila apatapo nafasi ya kuongea kwenye majukwaa.
Manufaa ya...
Anayejua aliyekuwa Mbunge wa Iringa mjini ni mchungaji wa Kanisa gani anijulishe
Nimekaa pale 😃🔥
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.
Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa tuhuma nyingi.
Binafsi naona huo ni utoto kwa sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia chumba...
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa
Yuko wapi Pastor?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa, akakorofishana na Mbowe, au tuseme akashindwa uchaguzi ndani ya Chadema na ikawa kichocheo cha...
Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni mnafiki,Chadema hawafai"
Yeye amahama Chadema, mambo ya Chadema sasa hayamhusu tena.
Waachane kwa amani na...
Usome mwenyewe
---
Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa kujiunga na maadui zangu wa kisiasa, sasa nitalazimika kukutana naye kama hasimu wake wa kisiasa.”...
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa...
Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless...
Karibu CCM MSIGWA. Karibu sana.
Umenikumbusha Maneno ya Mwana farsafa nguli Tanzania, the late Ruge Mutahaba. Aliwahi kusema kuwa, "Muogope Mungu, Lakini pia ogopa teknologia".
Hii video clip unaikumbuka lakini?
Pia soma
Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa...
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili.
Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo wagombea wawili.
Nategemea uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CCM safari hii itakuwa Rais Samia na Mchg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.