Shalom,
Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe
Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe.
Tangu kitambo Chadema ni Mali ya Mzee Mtei ambayo sasa iko chini ya Mbowe na familia pamoja na...
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na wale wote waliounga Juhudi
Kwa sababu Msigwa namfahamu tangu 1980s napenda kumshauri Kitu kimoja...
Mm binafsi sipendezwi na huyu peter msigwa,hasa baada ya kuhama chama,swala la kuhama chama ni haki yake, siwezi kukataa ila tatizo linakuja swala la kuanza kutoa siri za chama, Wala halipendezi, alitoa sababu za kuhama chama kwamba hakimkutendea haki, ilikuwa imetosha.
Angejikita kwenye hoja...
Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu.
Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare...
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa...
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za...
Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless...
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili.
Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo wagombea wawili.
Nategemea uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CCM safari hii itakuwa Rais Samia na Mchg...
Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais.
Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti.
Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.