Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa..
Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza vita ya maneno, kashafa na tuhuma za kisiasa baina ya F. Mbowe mwenyekiti wa chadema taifa na...
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her...
Anayejua aliyekuwa Mbunge wa Iringa mjini ni mchungaji wa Kanisa gani anijulishe
Nimekaa pale 😃🔥
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Chadema sio taasisi ni mali Mbowe, Mbowe amewahi kusema chadema ni Mbowe na Mbowe ni CHADEMA, Nikiamua kusema yote ninayoyajua hamtaamini, wengi wenu hamna taarifa kama mimi kwanini mnashindwa kufikri hata kidogo mnadhani mimi kichaa kujiondoa ndani ya Chadema!,mwambie mbowe aache kuwatapeli...
Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.
Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa tuhuma nyingi.
Binafsi naona huo ni utoto kwa sababu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukimbia chumba...
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.
Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na wale wote waliounga Juhudi
Kwa sababu Msigwa namfahamu tangu 1980s napenda kumshauri Kitu kimoja...
Mambo yote anayokosoa msigwa katika chama alichotoka kukihama kwa mtu mwenye akili timamu sioni hoja za msingi kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama dhaifu ni chama gani kwa sasa hii utakipima kwenye mzani kikawa sawa na chadema kwa sera
Sera za ccm miaka nenda rudi ni zile zile tumejenga...
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa
Yuko wapi Pastor?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.