mchungaji peter msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Mch Msigwa: Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka mpaka alipofurumshwa, Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

    Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wamekomaa, wameiga demokrasia kutoka CCM, Wasitake CCM iwe na demokrasia kama yao (CHADEMA)

    Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  3. Elitwege

    Ushindi wa Tundu Lissu umempoza mchungaji Peter Msigwa?

    Kabla ya ushindi wa Tundu Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema akimbwaga Freeman Mbowe, mchungaji Peter Msigwa alikuwa na kasi ya kutisha kwenye kuishambulia Chadema. Alikuwa anazunguka mikoani na kwenye vyombo vya habari akiwashawishi watanzania kuachana na Chadema kwani ni chama...
  4. Crocodiletooth

    Pre GE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

    Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM. In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
  5. M

    LGE2024 Mchungaji Msigwa: CHADEMA inajiandaa kuendeleza upotoshaji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametahadharisha watanzania juu ya upotoshaji unaotarajiwa kufanywa na vyama vya upinzani nchini kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza na Vyombo vya Habari Disemba 09, Msigwa amesema...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagombana waliko, hawana mwelekeo

    Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM. "Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri...
  7. L

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
  8. L

    Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka...
  9. Mwizukulu mgikuru

    Kuendelea kumuita Peter Msigwa "mchungaji" ni kuikosea heshima nafasi hiyo

    Msigwa alikuwa ni mwanachama kindakindaki wa chama cha Chadema hili wote tunalitambua, amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema kwa muda wa miaka 10, Msigwa hakuna asilolifahamu kuhusu Chadema, kama ni Siri za Chadema Msigwa anafahamu Siri nyingi tu kuhusu Chadema. Kosa kubwa analolifanya msigwa...
  10. J

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

    Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr Jumaa Mubarak 😀😀😀...
  11. R

    Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

    1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation 2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake 3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go! ===== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
  12. L

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa aendelea Kuwavurumishia Makombora Mazito CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote. Mtumishi huyo wa Mungu...
  13. L

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA. Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
  14. Influenza

    Pre GE2025 Msigwa: Bwana Mkubwa ana historia ya kuondoa wanaomfahamu. Orodha ilitajwa kuwa lazima Msigwa, Lissu, Lema na Heche waondoke

    Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji Amesema Wakati...
  15. ngara23

    Mchungaji Msigwa usoni hafanani na CCM, hatumwoni kama mwenzetu

    Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu. Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare...
  16. J

    Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa

    Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa Naye Kitenge...
  17. Ngengemkenilomolomo

    Kinachowaumiza na kitakachowaumiza zaidi wanachama wa CCM

    Kitendo cha mpinzani kuhamia kwao na muda si mrefu akala teuzi ya maana kabisa chomboni huku wao kama wazawa wakiendelea kuimba na kusifu hua kinawaumiza sana. Mimi sio nabii ila natabili bwana pasta soon anakula kitengo alafu wakereketwa wataendelea kukerwa wakiwa benchi;
  18. Wafuasi wa Rais

    Mwanasiasa nchini Tanzania ambaye kamwe hawezi kuhama chama chake ni Rais pekee

    Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais. Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti. Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
  19. H

    Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

    Desemba 17, 2017 Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM). Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu...
Back
Top Bottom