Habari za kazi. Nina ombi kwa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT).
Kwa heshima na unyenyekevu, tunaomba Baraza lizingatie uwezekano wa kufanya mtihani wa Pre-Internship kwa kundi la pili (Batch 2) mwezi Desemba 2026, badala ya kusubiri hadi Aprili 2027.
Hii itawapa fursa wahitimu ambao...