Leo tarehe 17/11/2021, ni siku ambayo intern doctors wanamaliza mafunzo yao karibia kila hospitali inayopokea interns, MCTt kwa kuwa mliamua kuwaminya vijana wengi wasiende intern kwa kuanza kuingiza siasa kwenye taaluma, hivi karibuni tutegemee malalamiko mengi kutoka kwa wagonjwa ambao...