Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.
Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;
1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM
2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi
3. Ado Shaibu ACT Wazalendo
4. Ahmad...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024.
CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
Kwanza ikumbukwe kuandaa Mdahalo ni gharama!
Turudi kwenye mada, Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesusia Mdahalo Kwa sababu Dr Nchimbi hajahudhuria hali iliyopelekea Makatibu Wakuu wa CUF na ACT Wazalendo nao kususia wakimuunga mkono Mnyika
Je kitendo cha Mnyika kususia Mdahalo ni Cha...