mdahalo wa makatibu wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024. CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…