mdee

Vanessa Hau Mdee (born 7 June 1988 in Arusha, Tanzania), is a Tanzanian singer, songwriter, rapper, youth activist, television personality and radio host. Mdee is popularly known for being the first ever Tanzanian MTV VJ. She later rose to prominence as a radio and TV host, hosting Epic Bongo Star Search and Dume CHallenge for ITV Tanzania before signing to B'Hits Music Group in late 2012.
After joining B'Hits Music Group, Mdee collaborated with Tanzanian rapper A.Y. on a record '’Money'’ and Ommy Dimpoz, a Bongo Flava artist on a record Me and You that was later voted Song of the Year during the 2013 Kilimanjaro Music Awards. She received an even bigger buzz with the release of her first solo single "Closer", which in its first week was downloaded over 30,000 times, a feat achieved by no other Tanzanian artist. "Closer" remained on the charts for over 13 weeks.Vanessa has had the chance to interview many artists, such as K'Naan, Kelly Rowland, French Montana, Trey Songs, Mac Miller, Rick Ross, Ludacris, Miguel, Donald, Nazizi, Xtatic, Stella Mwangi, Camp Mulla, Tay Grin, Teargas, Dr. Sid and many more African and international acts. In 2015 and 2016 she released three singles Nobody But Me, Never Ever and Niroge which were also received well. In July 2018, she was signed to Universal Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

    Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
  2. R

    Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

    Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
  3. Pre GE2025 Chadema "ikimaliza" mambo ya Mdee na wenzake ikawapa nafasi wagombee, naliona jimbo la Kawe na Bunda yakirudi Chadema kwa kishindo kitakatifu

    Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara. Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta...
  4. Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

    Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa. Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
  5. Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti Toa maoni yako
  6. Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Tumepokea hukumu iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 14 Desemba, 2023, uamuzi wa Mheshimiwa Jaji Cyprian Phocas Mkeha; 1. Kwamba uamuzi wa kuwafukuza uanachama waliokuwa wanachama wetu 19 uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama, umeendelea kusimama (Upo pale pale) na Mahakama imekubaliana kuwa taratibu...
  7. Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  8. Mabest hawa nawafananisha kama Bonnie & Clyde

    Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
  9. Paulina ukifukuzwa uanachama CCM kimbilia Mahakamani ukazuie ubunge wako kama wale akina Mdee

    Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako. Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako...
  10. Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Kama tunavyofahamu, Vanessa na mchumba wake Rotimi wamefanikiwa kupata watoto wawili, wa kiume Seven na wa kike Imani. Kwa kitambo, Vanessa na mwenzi wake hawakuwahi kuwaonesha watoto wao katika mitandao kama ambavyo mastaa wengine wakubwa nchini na ulimwenguni kote hufanya. Usiri ulikuwa...
  11. Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM. Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka...
  12. Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  13. Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  14. Mdee na Wabunge wenzake 18 kuchuana na CHADEMA leo tena Mahakamani

    Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo, kwani alikuwa kwenye semina ya majaji ndipo ikapangwa kuendelea leo. Wabunge hao akiwemo Halima Mdee...
  15. T

    Halima Mdee anastahili tuzo ya heshima ya uzalendo

    Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini. Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa. Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
  16. Dkt. Slaa: Kina Mdee watoke bungeni, Spika ni Kiburi

    Picha: Dkt. Wibord Slaa Aliyekuwa Balozi wa Tanzania Sweden, Wilbroad Slaa, amesema haoni sababu inayowezesha wabunge 19 wanaoongozwa na Halima Mdee kuendelea kuwapo bungeni ilihali chama chao kilishafanya uamuzi dhidi yao. Dk. Slaa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na...
  17. Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

    Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba. Halima mpaka leo ni single na hana...
  18. Halima Mdee: Nipo single na sijafanikiwa kupata mtoto

    Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi. My take: Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
  19. Halima Mdee: Bawacha vitoto vya juzi

    "....Bawacha wengi wao pale ni vitoto vya juzi kwenye game ambavyo kwa namna vinavyopiga kelele wala sipaswi kuhangaika navyo kwa sababu natambua ngoma ya mtoto huwa kamwe haikeshi." Mheshimiwa Halima Mdee (MB). ========== Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha)...
  20. T

    Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

    Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm. Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…