Je Wajua? Baadhi ya Magonjwa ya Koo, Njia ya Hewa, Mfumo wa Tumbo, Figo na Kisukari husababisha Kinywa kutoa Harufu Mbaya
Watu wenye Kisukari wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha Sukari kwenye mate yao, ambayo husababisha bakteria wa mdomoni kuzalisha Kemikali zinazosababisha harufu mbaya...