mdude chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mdude analalamikia makundi CHADEMA

    Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi". Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana...
  2. blogger

    Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  3. G

    Barua ya Mdude kwa umma baada ya kupata taarifa anawindwa kuchomolewa uhai

    Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter ......................................................................................... Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa, YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA. Utambulisho. Mimi mtajwa hapo juu ni...
  4. Mindyou

    Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba...
  5. M

    Mdude Chadema: Tukutane kwa Kibaha kwa Mathias Kanisa la ufufuo na uzima. Maombi maalumu kwa waliotekwa.

  6. Q

    Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  7. Leak

    Pre GE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

    Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali! Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
  8. benzemah

    RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
  9. Idugunde

    Mdude Chadema: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anahusika kutekwa kwa Shadrack Chaula. Aliwahi kuagiza niuliwe

  10. Kamanda Asiyechoka

    Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

    --- Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya: Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na...
  11. Stuxnet

    Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

    Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
  12. J

    Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

    Naomba kujua historia ya huyu bwana mdogo kwa anayeijua. Anajiamini na ana misimamo mikali kama muasisi wa CHADEMA hayati Tuntemeke Sanga. Hata Sugu kabla hajachakachuliwa alikuwa na misimamo mikali sana hasa alipoporwa mradi wa vyandarua😀😀.
  13. Idugunde

    Mdude Chadema amvaa Nape amwambia aache kutisha watu. Kuuza bandari isiwe sababu ya kutisha watu

    Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
  14. Makonde plateu

    Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

    Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
  15. Idugunde

    Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

    --- Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona. Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
  16. mr mkiki

    UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  17. Idugunde

    Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

  18. Idugunde

    Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  19. Idugunde

    Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

    Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
  20. Idugunde

    Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

Back
Top Bottom