Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao...
Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani
Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote
Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo.
---
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Songwe likimaliza mahojiano na kada wa Chadema, Mdude Nyagali, mwanaharakati huyo anapelekwa...
Wakuu,
Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile!
=====
Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
Wakati Mbowe na wenzake...
Salaam wanaJF.
Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama.
Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni?
Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti?
Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi...
Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...
Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi.
Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake.
Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM...
Wasalaam,
Leo tarehe 28 Juni 2021 Mahakama amemuachia huru aliyekuwa mtuhumiwa wa kosa la kuuza madawa ya kulevya.
Sitagusia juu ya kesi au namna ushahidi ulivyotolewa ila nataka kuongelea msimamo alionao Mdude Nyangali mwanachama mtiifu wa CHADEMA hata akajiita MDUDE CHADEMA.
Taifa...
Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu .
Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.