Habar wakuu?
Ninauza na Kusupply spare za generator , Air compressor and Earth moving machine.
Upande wa generator nna spare za
1. Perkins engine
2. Yanmar engjne
3. Deutz Enigine
4. Mitsubish Engine
5. Volvo Engine
6. Lister peter Engine
6. Wechai engine
7. Ricardo engine
8. Catpiller engine...
Nina kijana/rafiki
Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi
Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo)
Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia...
1. Nafasi ni moja.
2. Sihitaji mambo mengi.
3. Weka namba yako ya simu pm.
3. Hakikisha umekamilika.
4. Uzowefu usipungue mwaka 2.
TAHADHARI:-
A. Vijana mkitaka kusaidiwa basi jitahidi kuwa na fully nondo.
B. Tatizo langu mimsela lakini nipo a bit smart upstairs...😊
C. Kazi ni mining.
D...
Mwenye uhitaji akuje PM, msharaha 700,000 per month. Ratiba ya kazi ni siku 14 on and 7 days off, after 2 months of probation period.
Tayari tumewapata,
Mudi naomba mfunge huu uzi tafadhali.
Habari wataalam,
Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji.
natanguliza shukrani zenu kwangu.
Karibuni wataalam.
HD Mechanic
Shinyanga, Tanzania, United Republic of
TRENDING
JOB DESCRIPTION
JOB ADVERT - HD MECHANICS (01 VACANCY)
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit HD Mechanics to join our team. The successful candidate for this position is expected to align with the Barrick DNA and drive a change...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.