mechi yanga simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jingalao

    Bodi ya Ligi imetoa wapi kanuni zake? Je, zimejikita kwenye kanuni za IFAB?

    baada ya huu mkanganyiko nimeendelea kutafuta marejeo ya kisheria yanayohusu mpira wa soka duniani. bado sijaona kanuni hizi za bodi ya ligi yetu walizitohoa kutokea wapi. na matokeo yake bodi imejipa mamlaka isiyohusika nayo. kama huo ndio ukweli basi TFF na bodi ya ligi zitafaa kifumuliwa na...
Back
Top Bottom