Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel Gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo masandawana.
Kocha anatoa sababu ambazo hazina mashiko, mara alikosa muda wa kuandaa timu, mara Aziz ki na...