Kuna wakati huwa najaribu kwenda chimbo tofauti, ukiacha na zile zenye hadhi ya vibanda umiza ili kucheki mechi, moja ya jambo lililonishinda ni kuangalia mpira bila sauti ya mtangazaji na mashabiki wa uwanjani.
Mfano kuna chimbo moja nilitokea kulielewa ila kilichofanya niache kwenda eti...