"Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu.
Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo...