The Order of the Lithuanian Grand Duke Gediminas is the Lithuanian Presidential Award which was re-instituted to honour the citizens of Lithuania for outstanding performance in civil and public offices. Foreign nationals may also be awarded this Order. The Order of the Lithuanian Grand Duke Gediminas was instituted in 1928. It features the Columns of Gediminas, one of the national symbols of Lithuania.
Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024.
Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu...
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas
Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii.
Ukweli ni...
Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali?
Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu!
Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku tutaisubiria sana na haitotokea!
Nina Jeuri ya kusema hivyo kwasababu,kadiri miaka inavyozidi...
FAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024
1. Medali ya Dhahabu
Thamani: Tshs. Mil 2.56
Uzito: Gramu 529
2. Medali ya Chuma
Thamani: Tshs. Mil 1.3
Uzito: Gramu 525
3.Medali ya Shaba
Thamani: Tshs. 35,077
Uzito: Gramu 455
=====For English Audience======
The Olympics gold medal...
Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana...
Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka....
Kenya - Medali 6,Riadha
Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli
Uganda - 2,Riadha
Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics
Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu.
Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024.
Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani”
Alifanikiwa kushinda...
Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki.
Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya Greco-Roman huko Paris, aliondoa viatu vyake uwanjani kuashiria kustaafu kwake kutoka kwenye mchezo...
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa...
Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China.
Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
Mshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie awe mshindi wa kwanza.
Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini.
Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!
Walau Yanga unaweza kuiweka...