DOSSA AZIZ ALIPOSAHAULIWA KUPEWA MEDALI 1985
Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Kambarage Nyerere, sasa akijulikana kama Baba wa Taifa, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya medali 3979 kwa Watanzania waliochangia katika maendeleo ya taifa.
Kati ya wale ambao walipewa...