Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe 15 julai Hadi Agosti 25.
Zimebaki takribani siku 50 kabla ya wao kwenda kutupa karata yao ya Kusaka...