medard kalemani

Medard Matogolo Kalemani (born 15 March 1968), commonly known as Medard Kalemani, is a Tanzanian lawyer and politician, who serves as the Minister of Energy in the Tanzanian cabinet, since 7 October 2017. Immediately prior to his appointment to his current cabinet position, he served as Deputy Minister of the combined energy and minerals ministry, which was split into two, with Angellah Kairuki, assuming the mining docket.

View More On Wikipedia.org
  1. Papaa Mobimba

    Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

    MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato. Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Medard Kalemani: CCM Chato tunahita utulivu na umoja kwenye kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi

    Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake kusimama pamoja. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  3. Boss la DP World

    Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

    Ukweli usemwe: Enzi za uongozi wa Medard Kalemani na Tito Mwinuka kukatika kwa umeme ilikuwa ni nadra sana, ma meneja wa TANESCO wa mikoa na wilaya walikuwa matumbo joto. Kitengo cha emergency kilifanya kazi mchana kutwa, usiku kucha, huko vijijini speed ya kuwasha umeme kwenye miradi ya REA...
  4. M

    Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  5. JF Member

    Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

    Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia. Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko. Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda. Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu...
  6. M

    Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

    Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015. Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya...
  7. N

    Waziri Medard Kalemani anadharaulika sana kuliko Mawaziri wote

    Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote, Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini? Alianza na suala la Wananchi Vijijini waunganishiwe umeme haraka TANESCO wakampuuza, Kafuata suala la...
  8. The Boss

    Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
  9. J

    Maji katika bwawa la Nyerere kuanza kujazwa 15/11/2021 na 13/04/2022 litakuwa limejaa tayari kwa majaribio

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15. Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme...
  10. The Boss

    Waziri Medard Kalemani asiondolewe Wizara ya Nishati

    Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania. Kampeni ya kumchafua na kumshambulia ikemewe kwa nguvu zote. Kuna madadali wa kununua umeme wa gesi wameanza kampeni ya kumchafua na kumchomekea Mama wale matapeli wa zamani Kama Professa Muhongo na...
  11. Idugunde

    Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

    Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato. Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021 Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu, itumie kwa usahihi na uwajibikaji, zitahitimishwa Oktoba 14, 2021...
  12. YEHODAYA

    Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana. Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi Asema umeme...
  13. J

    Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  14. esther mashiker

    Stiegler’s Gorge yaanza kwa kasi

    WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa megawati 2,115 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ru ji (Stiegler’s Gorge) umean- za kwa kasi kubwa. Amesema mradi huo unaotekelezwa na Kampuni ya ubia ya Arab Contractors na Elsewedy Electric za Misri umeanza...
  15. Naton Jr

    Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge). Dkt. Kalemani aliyasema hayo...
Back
Top Bottom