Ijumaa muswano ndg yangu.
Napenda tech inavyokimbia kwa spidi sana na napenda baadhi ya binadamu ambao wapo nyuma kutojua tulipo na tunapoenda, hawa wanajua jana na muda huu alipo basi.
Hii chini ndiyo zile fake, zoom mikono uone inafanana na miguu ya nyani au tembo 😂
Twende sote...