medical doctor

  1. kikoozi

    Naomba kujua utaratibu wa kupata nafasi ya Internship kwa mwanafunzi anayemaliza mwaka wa 5 udaktari

    Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu.. nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship, kuna uwezekano akapangiwa hospitali zanje ya mkoa wa DAR ES SALAAM maana kwa sasa anasoma chuo nje ya...
  2. Nazjaz

    How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
  3. OMOYOGWANE

    Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

    Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano. Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari. Kasoma miaka mitano bila...
  4. Jamii Opportunities

    Consultant Medical Doctor at Tindwa Medical and Health Services (TMHS) October, 2023

    Position: Consultant Medical Doctor Education Work requires Bachelor Degree in Medicine or Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS from reputable University or Institute.) Training • Advanced Cardiac Life Support (ACLS) or Advanced Life Support (ALS) or equivalent • Advanced...
  5. Jamii Opportunities

    Health Volunteer – Medical Doctor at CCBRT

    Position: Health Volunteer – Medical Doctor Ref: 2023-26 The role Examining and treating patients in both the outpatient and inpatient departments, which includes running scheduled clinics, screening of patients, admitting patients to the ward, prepare operation lists and update Senior...
  6. Jamii Opportunities

    Medical Doctor at CCBRT

    Job Title: Medical Doctor Duty Station: CCBRT Hospital Job Description Examining and treating patients in both the outpatient and inpatient departments, which includes running scheduled clinics, screening of patients, admitting patients to the ward, prepare operation lists and update Senior...
Back
Top Bottom