Habari za muda huu wakuu? Ninaimani mnaendelea poa, lakini poleni kwa wale mnaokabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo 'Kiafya' na nina imani mtarejea katika utimamu.
Wakuu, katika kuhakikisha tunapashana na kupeana yale yanayoweza kutuongezea elimu na kutusogeza mbele, leo nashuka na uzi huu...