Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mehmet Gulluoglu amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wake wa kusini na Msumbiji.
Waasi wanaohusishwa na Islamic State wamefanya mashambulizi tangu Oktoba 2017...