Kijana Mtanzania ametekwa huko Nigeria na watu wenye Silaha. Kijana huyu anayeitwa Melchior ni Mseminary aliyeenda Nigeria kwa ajili ya Mafunzo ya Upadri. Juzi Parokia ya Mt Luka aliyokuwa akiishi ilivamiwa akachukuliwa yeye na Padri Mwingine.
----
Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika a...