Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa maharamia wa Kisomali baada ya kuondoka katika bandari ya Mukalla nchini Yemen.
Kwa mujibu wa vyanzo vya usalama na maafisa wa eneo hilo, meli hiyo ilitekwa siku ya Ijumaa na baadaye kupelekwa...