Huu ndo uzi wangu wa kwanza humu, mnikarbishe lkn yote ya yote umri umefika sasa kuwa na ndoa miaka 29 si haba.
Kwaio connection yenu ni muhimu kuhakikisha hili linafanikiwa. Kuanzia kuniungishia pisi humu, na kupush nitakapokwama si mnaelewa kuna michango pia!
Asanteni niko humu.
Waungwana!
Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana,
kuonyana,kukosoana,
kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia ya kiungwana.
Ili kutimiza lengo,waungwana watatumia “SIMULIZI ZA WAUNGWANA” kama rejea na mwongozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.