Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT .
Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya...