Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,,
najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba mbalimbali,watu wamekua katika makuzi tofauti tofauti,kuna wazee, vijana hadi kuna watoto humu, hivyo kila mada...