Ndugu zangu,
Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini.
Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira...