Mameneja wengi wa bar kubwakubwa na za Kati hawajitambui potential yao unakuta meneja anakuzingua kisa umevunja glass. Meneja mjanja wa bar hatakiwi kukosa mtu wa kumuazima million 2 kwa sababu bar wanaingia watu wengi wengine Wana pesa nyingi kuliko hata mmiliki wa bar sema tu bar sio biashara...