meno meupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fanya haya kama unataka meno yako yawe meupe

    Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote. Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja. Tumia asubuhi na jion siku 5 angalia matokeo. Niko pale kwa Masawe. Nasubiri mrejesho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…