Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo za Serikali Wilaya ya Kibondo Julai 2, 2024 akiwa kwenye gari binafsi majira...
Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya Walanguzi wa Wanyamapori waliokithiri.
Ndani ya kipindi cha miongo mitatu iliyopita, idadi ya Tembo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha kuanzia Septemba mosi hadi 12, limefanya oparesheni na Misako yenye tija katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kukamata watuhumiwa 29 wakiwemo wa kupatikana na nyara za serikali (Meno ya Tembo), kufanya...
Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario.
Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati.
Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
MENO YA TEMBO YAMPELEKA GEREZANI MIAKA 30.
Na Steven Augustino, Tunduru
Hakimu Mkazi mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Honorus Kando amemhukumu mkazi wa Kijiji Cha Nalasi Bw. ISSA Salumu Makale (35) kutumikia kifungo Cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetangaza kuwakamata watuhumiwa 16 kati yao Wanaume ni 15 na Mwanamke ni mmoja.
NYARA ZA SERIKALI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema kwa kushirikiana na askari wa TANAPA wanawashikilia watuhumiwa watatu [majina yanahifadhiwa kwa sababu...
Mwanakijiji wa Kitongoji cha Ipota, Kijiji cha Ikuba, Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Shija Ntumbili anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na meno ya Tembo mawili.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Ally Hamad Makame amewaambia Wandishi wa Habari kuwa mtuhumiwa huyo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa na meno yote mawili katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.